TBC kampeni na ITV hoja makini - kuhusu katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC kampeni na ITV hoja makini - kuhusu katiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Apr 15, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,151
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  ni KAMA TBC IMECHUKUWA WAKEREKETWA NA KUWALETA STUDIO KUTETEA MUSWADA ULIOFELI. NA ITV IMELETA WATU MAKINI KUTOA HOJA MAKINI NA WANACHAMBUA KWA UNDANI KULIKO TBC KAZI YAO NI MADONGO KWÀ CDM TU.
  WADAU EBU ANGALIENI WENYEWE LIVE SASA HIVI.
   
 2. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC wanajulikana, TIDO kaondoka na weledi uliokuwepo hapo enzi zake.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ITV mimi sijaona hoja yoyote zaidi ya porojo za James Mbatia na wenzake
   
Loading...