Tbc,itv na star tv,na hujuma ya habari igunga

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari picha).wakati mgombea wa ccm akionyeshwa muda mrefu na maelezo elekezi toka kwa ripota,huku tukionyeshwa picha ya mahudhurio ya umati ikionyeshwa. Lakini inakuwa kinyume inapokuja wa cdm,kamera inageuzwa na kuonyeshwa nyuma ya jukwaa na picha ya mgombea huku background ikiwa ni anga au paa la jukwaa!,kulikoni???
 
Tbc ndo wapuuzi wakubwa.wanatuwekea upuuzi wa ccm afu wanaponda upinzani.
 
Nyie magwanda basi anzisheni tv yenu mbona mnang'ang'ania tv za wenzenu tu kila siku?
 
Tunaisubiri chadema tv (CTV) ili kuondokana na huu uchakachuaji wa habari unaofanywa itv, tbc na startv.

Tbc1 wanaendelea kutumia rasilimali za umma kuibeba magamba huku makada wa magamba mengi na diallo wakitumia vituo vyao kukifanyia kampeni chama chao huku wakivihujumu vyama vingine.
 
TBC kama chombo cha taifa,hakina msaada hata kidogo kwa taifa. Ni sahihi kuitwa "TBC CCM"
 
Sidhani kama kuna ukweli kwa uliyoyasema, labda unataka kupendelewa kuliko inavyofanyika sasa. Kwa mfano kila siku huwa taarifa ya CHEDEMA inaanza kutangazwa kwa undani kabisa katika ITV baadaye hufuata CCM. Mara chache sana vyumbo hivi hutangaza habari za CUF. kwa hiyo kwa ITV chaguo la kwanza ni CHADEMA, la pili ni CCM na wengine wanachechemea.
 
kinachotakiwa kila mtaa uwe na mwanaharakati wa cdm.wapiga kura wa igunga hawatashawishiwa na t.v badala yake ni wanaharakati kwenye field!
 
Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari picha).wakati mgombea wa ccm akionyeshwa muda mrefu na maelezo elekezi toka kwa ripota,huku tukionyeshwa picha ya mahudhurio ya umati ikionyeshwa. Lakini inakuwa kinyume inapokuja wa cdm,kamera inageuzwa na kuonyeshwa nyuma ya jukwaa na picha ya mgombea huku background ikiwa ni anga au paa la jukwaa!,kulikoni???
Jana nimeangalia TBC wameonyesha kampeni za CCM tu uko Igunga,wananchi niliokuwa nao wakauliza kwani uko Igunga kampeni wanafanya CCM tu?TBC ni ya taifa na inaendesha na kodi za watanzania wote wa CHADEMA,CUF,CCM,UDP na vyama vyote vya siasa,waache ubaguzi vinginevyo tutaamasisha Watanzania waache kabisa kuangalia TBC.
 
Mimi nasema TBC wanachukua kodi zangu achana na wengine hao mimi ugomvi wangu ni wale ambao pesa zangu pia zipo inaniuma sana. watakuja kujibu tu
 
kinachotakiwa kila mtaa uwe na mwanaharakati wa cdm.wapiga kura wa igunga hawatashawishiwa na t.v badala yake ni wanaharakati kwenye field!

Kweli njia hiyo ya kutumia wanaharakati ndio mbadala kwa watu wengi wa vijijini, hata hivyo njia yao hao TBC/ITV ya kutumia coverage ya TV kwa jimbo la Igunga itafanikiwa kidogo sana labda Igunga mjini , Igogo, Nanga, Ibologelo, Ziba, Nkinga, na Mwanzugi tu the rest ni giza tupu isipokuwa wajanja wachache wanaotumia generator na sattelite dish ambao wengi wao ni CDM...Yes wengi wao nawajua, bado pia challenge wanayo kwani huko wanakopata matangazo ya TV wengi ni wale waliochoshwa na ukiritimba wa CCM na wana uelewa mkubwa tu,
 
Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari picha).wakati mgombea wa ccm akionyeshwa muda mrefu na maelezo elekezi toka kwa ripota,huku tukionyeshwa picha ya mahudhurio ya umati ikionyeshwa. Lakini inakuwa kinyume inapokuja wa cdm,kamera inageuzwa na kuonyeshwa nyuma ya jukwaa na picha ya mgombea huku background ikiwa ni anga au paa la jukwaa!,kulikoni???
.hatubabaishwi na vyombo vya kifisadi soon chadema tutakuwa na Tv yetu
 
Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari picha).wakati mgombea wa ccm akionyeshwa muda mrefu na maelezo elekezi toka kwa ripota,huku tukionyeshwa picha ya mahudhurio ya umati ikionyeshwa. Lakini inakuwa kinyume inapokuja wa cdm,kamera inageuzwa na kuonyeshwa nyuma ya jukwaa na picha ya mgombea huku background ikiwa ni anga au paa la jukwaa!,kulikoni???
Nachukia sana unafiki wa itv na star tv; kwa nini kujifanya muko neutral wakati mnapendelea chama tawala?mnajifanya mnabalance taarifa za kampeni huku mkiwaonyesha ccm na hadhira yote na mkimwonyesha mtoa hotuba tu wa CDM na kupotezea hadhira yake?ni unafiki, unafiki, unafiki na unafiki, tumeshawajua- kama mnatumia utashi wenu basi you are lost lkn nina mashaka kuna harufu ya rushwa nyuma ya hiyo unbalanced reporting
 
Wanafikiri kwamba wanaibomoa chadema kumbe ndio kwanza wanaijenga.
 
Nyie magwanda basi anzisheni tv yenu mbona mnang'ang'ania tv za wenzenu tu kila siku?

Kama ntakula ban basi ntakuwa nieonewa,we ****** huna akili kabisa unaleta mchezo na kodi zetu? TBC ni ya watanzania wote sio ya CCM hii PUMBAVU ZAKO WEWE.
 
Nyie magwanda basi anzisheni tv yenu mbona mnang'ang'ania tv za wenzenu tu kila siku?

wewe mwehu kweli. kwani tbc ni ya CCM? TBC ni shirika la uma, Linaendeshwa na kodi ya watanzania wote, siyo na ruzuku ya CCM.

Niape Naunye alitembelea baadhi ya mashirika ya habari hivi karibuni, sijui aliwatisha nini au aliwaahidi nini, ila ninachojua wanaipiga tafu ccm ile mbaya
 
Back
Top Bottom