TBC inarudia Ripoti jioni ya saa 3:30 usiku

Walekese

Senior Member
Sep 28, 2016
149
102
Ni muda mzuri, fungueni TBC sasa hivi wanarudia kuisoma ripoti.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI NA MLINDE MKOMBOZI WA WATANZANIA. MH. JOHN POMBE MAGUFULI.
 
Ni muda mzuri hasa kwa Wabunge na wafanyakazi kusikia hotuba hii ya kizalendo. Tumuunge mkono Rais wetu na tuwe wazalendo wa kweli. Tuache siasa zisizo na tija kwa Taifa.

MUNGU MBARIKI MUSA WETU.
 
Ni muda mzuri hasa kwa Wabunge na wafanyakazi kusikia hotuba hii ya kizalendo. Tumuunge mkono Rais wetu na tuwe wazalendo wa kweli. Tuache siasa zisizo na tija kwa Taifa.

MUNGU MBARIKI MUSA WETU.
Tumuunge mkono wakati alishiriki ktk kutunga hizo Sheria za Kijuha.
 
Tumuunge mkono wakati alishiriki ktk kutunga hizo Sheria za Kijuha.
Sio kila mbunge mule bungen huwa anakubali zile sheria

Kumbuka wengi ndio hushinda

Pia Jpm msimamo wake unajulikana toka akiwa mbunge ,ni kutokubaliana na wiz wa madini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom