tbc inapatikana kwa friquence gan kwenye ungo!

Hivi hii ni tv ya taifa kweli,Mbona itv inapaikana kirahisi!!!
TBC mna matatizo gani????????????
 
Wamebadilisha ili tusijue kinachoendelea bungeni hadi wamalize bunge ndo watarudisha frequency na hili tatizo liko kwa wale wenye madish ya 6" wale wa futi nane sijui kama wanashida,na hapa wamefanya vile kwa kuwa madishi mengi ya futi sita yameenea vijijini sana ila elimu ya kinachoendelea wana vijiji wameshaambiwa.
 
Mi sina hata haja nayo, nishawaambia ndugu zangu wote tushaihama na kamwe hatutarudi nyuma!
 
Back
Top Bottom