Wamebadilisha ili tusijue kinachoendelea bungeni hadi wamalize bunge ndo watarudisha frequency na hili tatizo liko kwa wale wenye madish ya 6" wale wa futi nane sijui kama wanashida,na hapa wamefanya vile kwa kuwa madishi mengi ya futi sita yameenea vijijini sana ila elimu ya kinachoendelea wana vijiji wameshaambiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.