Tbc, Huyu ndiye Magufuli

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Kuna kipindi kilirushwa na ITV cha huyu ndiye Lowasa. Sasa naona Tbc wameiga na sasa kipondo hewani. Ila cha ajabu ni kwamba hakina mvuto kabisa, yaani ni Kama wanaomboleza. Duh, nimeamini Lowasa hakamatiki
 
waangalia cha nini na hakimzungumzi Lowassa?
 
Ameingiwa na muwashawasha wa JP Magufuli..toroka uje huku kabla lango halijafungwa tar 26 Oct
 
Back
Top Bottom