TBC hivi hamsikii jamaa wakitoa matusi makubwa wakati maadhimisho yakiendelea live???

Hao sijawasikia, lakini kama ni kweli inafaa wachukuliwe hatua kali za kinidhamu kuanzia Mkurugenzi wa TBC mpaka waliopo huko kiwanjani. Huu ni uzembe wa hali ya juu, haya ni matangazo ya Taifa na yanasikika dunia nzima.

Hii "Mitanzania" ndivyo ilivyo!
 
wale jamaa wametukana muda mrefu sana.kama ni wa TBC itakuwa ni tukio la mwaka.
 
Jamaa waliaibisha taifa na dunia nzima eti ni matangazo yanayorushwa dunia nzima nani kweli tumeyasikia matangazo ya matusi dunia nzima!
 
Jamani nasikia kbs jamaa wanatoa matusi makubwa live TBC mara vifaa vya si****** ss sielewi inakuwaje wanashindwa ku control hii sauti,wachoongea hawa ni aibu kwa Taifa,au ni wafanyakazi wa TBC one!hebu mtuweke sawa!
hata mimi nilisikia watu wakizungumza nyuma ya camera ila sikuwa makini sana kufatilia hivyo sikusikia matusi.ni hivi kiufundi (techinical wise) hizo huitwa noise au unwanted sound,walichokosea tbc ni kuruhusu ile camera ipokee sauti kupitia mic attached na camera,zinaitwa omndirectional microphone.sasa tabia ya mic za namana hii ni kurekod sauti toka kila angle(nyuma,mbele kushoto na kulia).ila kama wangetumia Unidirectional microphone tusingesikia mazungumzo yao kwani zenyewe hurekodi sauti toka uelekeo mmoja na maranyingi huwa ni uelekeo wa camera.jambo lingine ni kwamba kulikuwa hakuna ulazima a kupokea sound signal toka ktk ille camera.mafund walichemsha.na hii sio mara ya kwanza kwa tbc hasa wanapo rusha matangazo ya moja kwa moja.tbc jipangeni.
 
Jamani wengi tumesikia na moja ya mambo waliokuwa wanayazungumzia ni hizo silaha za kijeshi na kuonekana kama sherehe ya siku ya mashujaa,na waliona tukio kama hilo linachukua muda mrefu nao wanataka tukio liishe.anyway hii inaonyesha wazi kuwa watu wamekuwepo pale si kwa uzalendo na utashi wao bali ni kwa msukumo wa ajira zao.maana yake ni kwamba hawakulipenda tukio hilo la maadhimisho ya miaka 50 ya ya uhuru.Ki ukweli hata mimi nimeshangazwa na baadhi ya gharama kama vile kutafuta wataalamu kutoka china kuja kufundisha halaiki.
 
Hawajui kabisa kurusha matangazo ya live,

picha hazionekani vizuri,ndege zenyewe hawajatuonyesha,
watoto walivyoandika miaka hamsini ya uhuru badala watuonyeshe picha kwa juu wameganda hapohapo,wanapiga story
tunasikia,
TBC1 hamkuwa serious na kurusha hili tukio.
 
Nimewasikia. Wana utovu wa nidhamu. Pia TBC wametega kamera uwanjani na jukwaa kubwa basi. Hakuna aerial view wala nini. Wmekaa mahali pamoja utadhani wametiwa gundi. Si wangesidiana hata na makampuni yenye vifaa ili walete matangazo bora?

waweke live uwanja mzima kwani wamevichoka vibarua vyao au hawajitaki?! Wanajua kilichomkuta Tido..
 
Hawajui kabisa kurusha matangazo ya live,

picha hazionekani vizuri,ndege zenyewe hawajatuonyesha,
watoto walivyoandika miaka hamsini ya uhuru badala watuonyeshe picha kwa juu wameganda hapohapo,wanapiga story
tunasikia,
TBC1 hamkuwa serious na kurusha hili tukio.

huenda posho waliyosainh,kidogo..
 
harafu sijajua kulikuwa na kundi kubwa la kina mama wamevaa flana nyeupe na kofia aisee wameshangilia sn ss sielewi wemetoka wapi sijui ni walimu wale?return yake imekaaje?
 
Jamani nasikia kbs jamaa wanatoa matusi makubwa live TBC mara vifaa vya si****** ss sielewi inakuwaje wanashindwa ku control hii sauti,wachoongea hawa ni aibu kwa Taifa,au ni wafanyakazi wa TBC one!hebu mtuweke sawa!

Ni kweli hawa jamaa wana tabia hiyo mimi huwa nawasikia karibu kila siku asubuhi wakati wa kipindi Russian Television (RT) huwa kuna sauti (background voices) za jamaa wanongelea habari zao binafsi hata mambo ya ngono na matusi ya nguoni Nafikiri baada ya Todo mhando kuondoka professionalism hamna tena pale TBC1 Mr. Msangi fuatilia na ondoa hawa jamaa wanatia aibu sana.
 
sisi kama wananchi wazalendo tunataka tbc iombe radhi kwa umma kufuatia matusi hayo, pili uongozi wa tbc kupitia dg wake mr mshana itangazie umma hatua walizochukua kwa wafanyakazi wahusika na supv wao kwa kitendo chao cha aibu kwa tbc na serikali kwa ujumla. Usije ukafanya wanainchi waanze ku wa miss ma real profesionals kama d wakati,tido mhando etc
 
sisi kama wananchi wazalendo tunataka tbc iombe radhi kwa umma kufuatia matusi hayo, pili uongozi wa tbc kupitia dg wake mr mshana itangazie umma hatua walizochukua kwa wafanyakazi wahusika na supv wao kwa kitendo chao cha aibu kwa tbc na serikali kwa ujumla. Usije ukafanya wanainchi waanze ku wa miss ma real profesionals kama d wakati,tido mhando etc[/QUOTE)HIYO SAHAU hawataomba radhi wala kuachishwa kazi, jambo km hili linaonekana dogo sana kwa serikali hii
 
Nakuunga mkono!
 
So what? This is no big deal.hata obama ananaswa kwenye open mike

Aaaaaaagh ill dependency syndrome...........au ndo ulikuwa unafanya hayo madudu wewe ???? Kama Obama ananaswa ndo na sisi tusikie matusi mbele ya watoto na wazazi wetu......kweli mtumwa si yule wa kufanya kazi ngumu tu... hata wa kifikra mpo !!!!.....Wewe hata package ya kameruni utakubali wewe kwa jinsi unavyojenga hoja zako
 
dalili za kukata tamaa, busara si kitu katikati ya hali ngumu ya maisha. acha watukane mbona Mkuu wa mkoa na OCD wake Arusha kila leo wanawaita wananchi PANYA, au MBWA

Na Ghadaff aliwaita wenzie hivo ivo, matokeo yake nani asiyeyajua! Kauli zenu wakubwa, huwa zina-back fire hizo ohooo!
 
Hao sijawasikia, lakini kama ni kweli inafaa wachukuliwe hatua kali za kinidhamu kuanzia Mkurugenzi wa TBC mpaka waliopo huko kiwanjani. Huu ni uzembe wa hali ya juu, haya ni matangazo ya Taifa na yanasikika dunia nzima.

Hii "Mitanzania" ndivyo ilivyo!

Uko sawa kabisa FaizaFoxy, lakini wabongo hapa ndo hatunaga ujasiri wa kuwarekebisha wenzetu kwa kuchukulia hatua za kinidhamu. (kwa uzoefu wangu tu)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom