Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,162
- 3,162
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.
Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.