Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,474
- 37,745
Picha ya Leo kama ina degedege hivi.Watangazaji wa tbc mmekuja kuleta utetezi, ila mnaboa kuna wakati TBC HD inaganda mpaka mpira unaisha, ruzuku mnapewa lakini ubabaishaji kibao.