Intelligence yetu inaendeshwa na watu ineptInasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged.
TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.
Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali wa Taifa, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya namna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.
Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo