Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
- Thread starter
- #21
Serikaki za kichovu ndo huwa zitumia uongo wa kijinga kama huu kubrainwash wananchi
Pesa ya Tozo hizi propaganda za kijinga jinga wazimegharamiwa kwa pesa nyingi ni mradi wa wajanja wachache huko CCM wamekaa wakibuni Mbinu za kula pesa za walipa kodi wakaamua kutengeneza hizo sinema za kishamba kwa njia haramu za kishetani wapate kupiga pesa nyingi, Nchi hii imejaa vioja vya ufujaji wa pesa za umma kwa mambo yasiyo na tija kwa TaifaInasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyostaged.
TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.
Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya nna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.
Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo
Huo ni mradi wa wizi za pesa za walipa kodi kwa wajanja wachache wametengeneza bajeti kubwa wamekula mapesa mengi kwa ajili ya kuandaa hizo propaganda za kishamba na kijingaSerikaki za kichovu ndo huwa zitumia uongo wa kijinga kama huu kubrainwash wananchi
Wamevaa tshirt za kudai katiba mpya ili iweje, wangevaa magwanda basi,kama mnahitaji kupiga longolongo get smart people for the jobKitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Yupo ndani ya choo za kienyeji,halafu koti alilovaa katundika mlangano.ukimwita mbona mda mrefu hutoki?anasema siyo mimiCcm wameshindwa hata kuedit hata mavazi toka lini ukavaa nguo zenye ujumbe.
Utaki katiba mpya lakini unavaa t shirt ya kuhamasisha katiba mpya
,CCM kifo kinawaita sasa hata akili zimewaishiaCcm wameshindwa hata kuedit hata mavazi toka lini ukavaa nguo zenye ujumbe.
Utaki katiba mpya lakini unavaa t shirt ya kuhamasisha katiba mpya
Kama taifa Zima linajikita katika Hilo kwa namna hii, je tunategemea kwenda mbele zaidi ki uchumi? Kwa kutumia mbinu hizi hizi?Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyostaged.
TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.
Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya nna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.
Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo
Anaitwa" KUSEMA UKWELI"Nilikua nadhani Ayoub Rioba ana degree kumbe hata hiyo fomfoo yake Ni Kama mbunge msukuma tu.
Yule msukuma anaongeaga ukweli kwamba Kuna wakati darasa la Saba wanaakili kuliko fomfoo.
delila kaishiwa na mbinuInasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged.
TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.
Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali wa Taifa, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya namna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.
Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo