TBC acheni fake news, acheni michezo ya kitoto!

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya

Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyostaged.

TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo

Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.

Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.

Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya nna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.

Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo

Pesa ya Tozo hizi propaganda za kijinga jinga wazimegharamiwa kwa pesa nyingi ni mradi wa wajanja wachache huko CCM wamekaa wakibuni Mbinu za kula pesa za walipa kodi wakaamua kutengeneza hizo sinema za kishamba kwa njia haramu za kishetani wapate kupiga pesa nyingi, Nchi hii imejaa vioja vya ufujaji wa pesa za umma kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Serikaki za kichovu ndo huwa zitumia uongo wa kijinga kama huu kubrainwash wananchi
Huo ni mradi wa wizi za pesa za walipa kodi kwa wajanja wachache wametengeneza bajeti kubwa wamekula mapesa mengi kwa ajili ya kuandaa hizo propaganda za kishamba na kijinga
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Wananchi wana shida na Hosptal barabara maji maendeleo lakini pesa nyingi inapotelea kwenye kudhoofisha upinzani kutengeneza propaganda za kishamba shamba na Mbinu zingine haramu za kishetani
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
CCM wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hawataki maendeleo wanatumia matrion kudhoofisha kuua upinzani kwa njia haramu za kishetani
 
N-handsome

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,442
2,000
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
Wamevaa tshirt za kudai katiba mpya ili iweje, wangevaa magwanda basi,kama mnahitaji kupiga longolongo get smart people for the job
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,707
2,000
Hata mimi nilishangaa. Hatuwezi kuwa na wananchi wapumbavu kiasi hiki.

Hawa TBC wanadharirisha sana utaifa wetu.
 
Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,711
2,000
Ccm wameshindwa hata kuedit hata mavazi toka lini ukavaa nguo zenye ujumbe.
Utaki katiba mpya lakini unavaa t shirt ya kuhamasisha katiba mpya
Yupo ndani ya choo za kienyeji,halafu koti alilovaa katundika mlangano.ukimwita mbona mda mrefu hutoki?anasema siyo mimi
 
Wakabambee58

Senior Member
Aug 14, 2020
115
250
Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya

Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyostaged.

TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo

Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.

Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.

Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya nna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.

Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo

Kama taifa Zima linajikita katika Hilo kwa namna hii, je tunategemea kwenda mbele zaidi ki uchumi? Kwa kutumia mbinu hizi hizi?
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
8,020
2,000
Nilikua nadhani Ayoub Rioba ana degree kumbe hata hiyo fomfoo yake Ni Kama mbunge msukuma tu.
Yule msukuma anaongeaga ukweli kwamba Kuna wakati darasa la Saba wanaakili kuliko fomfoo.
 
Anaitwa" KUSEMA UKWELI"
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
4,004
2,000
Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya

Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged.

TBC mnachokifanya ni kinyume cha kanuni za TCRA kwa sababu mnasmbaza taarifa za uongo

Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.

Jibuni hoja za CHADEMA acheni propaganda mfu na uongo. Ni aibu kwa serikali kudanganya watu wake.

Na kama TISS inahusika, basi hii ni michezo muflisi, jipangeni mje na mipango mizuri kwa ajili ya mustakbali wa Taifa, ni aibu kwa taasisi ya Intelijensia kufinance michezo ya namna hii ya kudanganya na kubraiwash watu.

Please Acheni kudanganya umma, mnavunja sheria, mnavunja katiba kwa kuwalisha watu taarifa za uongo

delila kaishiwa na mbinu
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,691
2,000
TBC Televisheni inayoongozwa na Kodi zetu Watanzania inasikitisha kuna wapuuzi wanaitumia kufanyia propaganda. Hii nchiwengine wanatuona mazuzu ila ipo siku kitanuka hakuna atakayezweza kutuliza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom