TBC 3 Tanzania Safari Channel

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Leo nilikuwa naangalia hii safari channel nimeona ni nzuri sana. Nilikuwa na wazo kuhusu hii channel. Wengefungua pia U tube channel ya hii channel ingekuwa ni vizuri zaidi ili watu wengi duniani waiangalie. Najua wahusika wanapita humu.
 
Ni nzuri ndio!.. lakini picha na matukio ya wanyama tu ndivyo vilivyotawala channel nzima... Nashauri zipigwe picha za video kwenye safari zote za mabasi ndege na garimoshi nchi nzima. Safari ya kutoka Dar hadi Mwanza, Kigoma au Songea zimejaa matukio na madhari ya kuvutia,
Naunga mkono hoja
 
Leo nilikuwa naangalia hii safari channel nimeona ni nzuri sana. Nilikuwa na wazo kuhusu hii channel. Wengefungua pia U tube channel ya hii channel ingekuwa ni vizuri zaidi ili watu wengi duniani waiangalie. Najua wahusika wanapita humu.
Endelea kuangalia wiki 1 au 2 mfululizo ulete tena mrejesho humu.
Sisi tulioacha hatusemi.
Kitu wanarudia mara 1000 kwa siku kwa wiki.
No ubunifu.
Endelea kuwa mzalendo
 
Leo nilikuwa naangalia hii safari channel nimeona ni nzuri sana. Nilikuwa na wazo kuhusu hii channel. Wengefungua pia U tube channel ya hii channel ingekuwa ni vizuri zaidi ili watu wengi duniani waiangalie. Najua wahusika wanapita humu.
shida ipo hapa ukiangalia kutwa nzima leo, kesho ukaangalia utagundua imeishiwa na update za kila siku kutoka maeneo yetu ya utalii hili lilikua muhimu zaid kulifix before.
 
hiyo ukiangalia mambo yao ni yaleyale kila siku..... hawana jambo jipya hata kidogo.... kwa siku jambo moja linarudiwa mara tisa na kesho story ni ileile..... HALAFU WANAWADHALILISHA WAMASAI NA WAHADZABE KWA KUWAITA NI KIVUTIO KWA WATALII.
 
HILI LICHANNEL TOKA WALIVYORECORD MARA YA KWANZA HAWAJARECORD TENA...WANACHOFANYA NI KUVIRUDIA VIPINDI TU...

SIJUI NI AINA GANI YA WAFANYAKAZI WALIONAO? MBONA WABUNIFU TUKO MTAANI...UKIOMBA AJIRA HUPEWI...HATA UKIWAPA PROGRAM PROPOSAL....

NI WAZEE WA SIFA NA KUABUDU TU PALE...
 
Inawezekana ila tatizo linakuja waajiliwa wana uhakika na mshahara pamoja na akiba ya uzeeni hivyo kufanya jambo jipya kwao ni kupoteza muda.
Serikali hakifanyi biashara,
Unaona ATCL imesema ,wakazi wa CHATO nauli kutoka CHATO Hadi Dar nauli TSH 40,000/
 
Serikali hakifanyi biashara,
Unaona ATCL imesema ,wakazi wa CHATO nauli kutoka CHATO Hadi Dar nauli TSH 40,000/
Nani kakwambia serikali haifanyi biashara?, na naomba hilo tangazo la bei ya nauli from Chato.
 
Back
Top Bottom