TBC 1, mijadala yenu mbona mnaita watu wasio na akili za kujiongeza?

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Habari za muda huu wakuu,

Naomba kuwasilisha hoja hii kuhusu TBC mbona mnaita watu kuwahoji wasio na uelewa mpana?

100% ya wanaoitwa kufanyiwa mahojiano sio wajenzi wa hoja, ni wasifiaji tu. Logic reasoning ni zero kabisa

Hivi huwa mnawatoa wapi hawa wasifiaji?

Badilikeni wekeni watu sio ma robot ya kusifia
 
Sasa mali ya wenyewe alaf waite watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya reasoning ili wahoji yataka wafumbua macho wanyonge wao
 
Kama mpaka Leo unaangalia TBC pole!!!!! Mm binafsi local channel zimenishinda kwa asilimia 100% yani kabisa unakaa sebuleni kwangu naangalia TBC,ITV,star TV,Chanel ten ,clouds ,wasafi...........!??? Sidhani kama nitaweza tena naomba Mungu anisaidie nisiweze kabisa
 
Mkuu nadhani tunaweza kuishi wote,binafsi local channels labda wakati naangalia mpira wa Bongo tu
 
TBC imebakia kusifia haina tofauti na akili za msiba!TBCCCM/TBCMATAGA
 
Back
Top Bottom