TBA mnakwama wapi? Ni miaka sasa jengo la idara ya maji Mtwara hamjakamilisha

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
TBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
 
Lipo tatizo kubwa miradi pay master pesa haitoki kwa wakati na hakuna room kulalamika! Mkuu akitamka kipaumbele malipo mambo yanakwenda.
Kadhia hii ipo kwa miradi mingi ya serikali.Inategemea hisani ya mkuu amekumbuka sector ipi mwezi husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
Wapi imeandikwa kua TBA ndiyo mkandarasi kwenye hiyo project?
 
TBA ni mshauri mkuu..au client akikosa pesa mshauri anatoa pesa mfuko?
 
Wapi imeandikwa kua TBA ndiyo mkandarasi kwenye hiyo project?
Najua wewe ni mfanyakazi wa TBA Mtwara sasa nyie endeleeni na moyo huo huo, msisahau kuanzisha miradi ya kujikimu maana TBA inavunjwa soon
 
Najua wewe ni mfanyakazi wa TBA Mtwara sasa nyie endeleeni na moyo huo huo, msisahau kuanzisha miradi ya kujikimu maana TBA inavunjwa soon
Wale wa SDA wamekufa njaa? acha kutka nje ya mada. Nimekuuliza wapi inasema kua TBA ndiyo wenye mamlaka ya kutoa pesa ya kumalizia mradi?
 
TBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
Tba Ni real estate management sio civil engineer, tufufue shirika letu la mecco
 
Back
Top Bottom