TB Jshua ndani ya Ikulu Dar!

nrongalema

Member
Apr 11, 2011
48
5
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
 
kwani wewe tatizo lako nini! MBONA SIONI TATIZO HAPO!
 
Kimataifa ZANZIBAR HAIFAHAMIKI,
MAY BE THAT IS A REASON.
KIKUBWA MSAADA HUO UFANYE KILE ALICHOKUSUDIA MTOAJI.
 
Bwana asifiwe sana.
Ikulu ya Magogoni imekithiri kwa rushwa, uchafu wa namna zote, wizi, ufisadi na ubadhirifu wa kila namna.
 
amekuja kumwaga unga mweupe kwa ajili ya kusafisha njia ya AL kuingia ikulu
 
Uandishi wenu bwana ni wajabu sana .Mie nikadhani kwamba Jamaa mwenyewe yuko Ikulu kumbe mwakilishi ? Na kwa nini wasitoe pesa hii kule kule Nigeria Ubalozini hadi waje Ikulu yetu ?
Haya swali jingine ni hili , siku ile ya mazishi sijui ya kitaifa pale kiwanjani walitajwa viongozi wooote hadi mashekhe lakini mkristo mwakilishi waumini hakutajwa .Makanisani tuliomba bila kujali wamekufa akina nani .Je pesa ya hawa wagalatia itapokelewa vipi kule kwa wale Mujahidina ?Wacha tuone kama watapokea au watakataa
 
Kutokana na Imani yangu ya Kikristo na jinsi nilivyopewa uwezo na muumba Kumfahamu Prophet TB Joshua, kwake huo si msaada bali ni wajibu wake ktk moja ya idara zake kusaidia binadamu wenye shida Duniani. Zaidi ya hapo, kila jambo alifanyalo huwa linakuwa na Prophetic message, na huwezi kuijua hiyo mpaka mamlaka husika ziombe kuonana naye, naye hufunguka kila kitu. By mamlaka husika nina maana ni pale magogoni. Ahsante TB Joshua "Better is not Good Enough the Best is Yet to Come"
 
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.

Kimataifa inatambulika nchi moja ambayo ni Tanzania na ikulu yake iko Dar na sio Zanzibar
 
Hilo nalo neno: wazanzibari wanaamua kuuana wenyewe nayi mwaifanya kuwa headline news?!. Tazama- meli ilinunuliwa na kuletwa zanzibar wakati operational life time yake imekwisha, haikusajiliwa na mamlaka yoyote, haikuwa na sifa ya kupewa bina, haikuwa na vifaa vya uokoaji, abiria waliona kuwa meli imejaza mzogo na kutaka kuahirisha safari walizuiwa kufanya hivyo, SUMATRA walipoenda kukagua vyombo vya usafirishaji vya zanzibar walitimuliwa na kesho yake Z'bar ikaunda mamlaka yake isiyo na kauli juu ya vyombo vya usafiri. Sema utakavyo.
Does it even deserve to be the news
 
Uandishi wenu bwana ni wajabu sana .Mie nikadhani kwamba Jamaa mwenyewe yuko Ikulu kumbe mwakilishi ? Na kwa nini wasitoe pesa hii kule kule Nigeria Ubalozini hadi waje Ikulu yetu ?
Haya swali jingine ni hili , siku ile ya mazishi sijui ya kitaifa pale kiwanjani walitajwa viongozi wooote hadi mashekhe lakini mkristo mwakilishi waumini hakutajwa .Makanisani tuliomba bila kujali wamekufa akina nani .Je pesa ya hawa wagalatia itapokelewa vipi kule kwa wale Mujahidina ?Wacha tuone kama watapokea au watakataa
............. Mgalatia akifanya jema hilo hupokelewa ! ila la kumkanusha Mungu hilo halivumiliki, pale uneitwa Mgalalatia angemkanusha "Mwenyezi Mungu" hadharani......................... maana angeanza: Kwa jina la Baba, Mwana na ................... weee ! wapi na wapi ?
'' Enyi watu wa kitabu, njooni katika neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimwabudu yeyeote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote : Wala tisifanyane sisi kwa sisi kuwa ni Waungu, badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislaaam !" Quran: Al Imran 64.
 
.......... Zaidi ya hapo, kila jambo alifanyalo huwa linakuwa na Prophetic message, na huwezi kuijua hiyo mpaka mamlaka husika ziombe kuonana naye, naye hufunguka kila kitu. ......."

Kha! huyo ni binaadamu mwenzako, hebu jaribu kutembelea bbc kulikuwa article nzuri kuhusu hawa manabii walioongezeka katika dunia hii, na hasa kutokea huko Nigeria.
 
............. Mgalatia akifanya jema hilo hupokelewa ! ila la kumkanusha Mungu hilo halivumiliki, pale uneitwa Mgalalatia angemkanusha "Mwenyezi Mungu" hadharani......................... maana angeanza: Kwa jina la Baba, Mwana na ................... weee ! wapi na wapi ?
'' Enyi watu wa kitabu, njooni katika neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimwabudu yeyeote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote : Wala tisifanyane sisi kwa sisi kuwa ni Waungu, badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislaaam !" Quran: Al Imran 64.

Mashehe muhammadans wapo wapi? Yaani mpaka Wachungaji waje, ndio mtawasikia nao wanafuata.
 
Mtumishi wa Mungu kweli TB Joshua?Kweli wajinga ndio waliwao.
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom