tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Hii Video imechapishwa na Emmanuel TV.
Inaonesha jinsi TB Joshua alivyokuja kumpa hongera Mhe. Magufuli na kutumia muda mrefu pia kumfariji Mhe. Lowassa. Hii inaendana na maagizo ya kibiblia ya kuwa karibu na wenye huzuni au kuvunjika moyo, sawasawa na Marko 2:17 inayosema: Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi...
Kuna sehemu TB Joshua anasikika akimwambia Lowassa kwamba GOD OPINION IS FINAL.