TB Joshu atabiri tena

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini lakini, wapenzi wa chelsea ombeni sanaaaaaaaa, hata yeye ni mpenzi wa chelsea kumbe, ila ni kwa kipindi cha kwanza hicho, matokeo kamili jumapili ya next wiki.

Note Wapenzi wa Chelsea kasema Ombeni sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
yaani mambo yoote ya kuzungumza
na shida zoote za waumini wake
kaona hii mechi ya chelsea na bayern ndio muhiiimuuuu kwake

ukisikia cheap popularity ndo hizi
 
Kwa hiyo anamanisha Chelsea itachukua ubingwa?

Amesema kuwa watu wasimnukuu vibaya kuwa chelsea itashinda ila Chelsea inaitaji maombi kuliko bayern. Ila kasema jumapili ijayo atasema kila kitu, so tusubili atakachosema maana watu walitaka kujua matokeo
 
Akitoa ufafanuzi baada ya rumors kusambaa kuwa amewatabiria Chelsea ushindi dhidi ya Bayern Munich; T.B.Joshua anasema hakitabiri chochote kabla ya sasa ambapo imebidi amuombe Mungu amuoneshe super game hiyo!

Amedai kaoneshwa kipindi cha kwanza tu, ambapo mambo hayawaendei vizuri Chelsea. Ameendelea kusema, kuwa ndani ya maono kamuona mkaka mmoja mrefu mwenye kipara akifungia goal la kichwa Bayern Munich

(sijampata vizuri hapa, ila nahisi alimdescribe as dark n tall)

Matokeo ya second half atatoa jumapili ijayo!
 
yaani mambo yoote ya kuzungumza
na shida zoote za waumini wake
kaona hii mechi ya chelsea na bayern ndio muhiiimuuuu kwake

ukisikia cheap popularity ndo hizi

Kuna watu wamemtumia ujumbe jamani, na hapo kanisani kuna watu wamemwomba matokeo ya hiyo mechi muda si mrefu hapa kwenye Tv yake ya Emmanuel
 
Hivi Baldhead ndio manywele!
The Boss
Hiyo ni reaction ya media; hadi Super sport walitangaza kuwa TB Joshua amesema Chelsea watashinda!

Pia utabiri huo ni wa kipindi cha kwanza tu!
 
Last edited by a moderator:
TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini lakini, wapenzi wa chelsea ombeni sanaaaaaaaa, hata yeye ni mpenzi wa chelsea kumbe, ila ni kwa kipindi cha kwanza hicho, matokeo kamili jumapili ya next wiki.

Note Wapenzi wa Chelsea Ombeni sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

There have been several rumours circulating that Prophet T.B. Joshua prophesied the outcome of the UEFA Champions League Final. This message is to set the record straight:

  • Prophet TB Joshua did not prophesy concerning the upcoming UEFA Champions League Final.
  • Prophet TB Joshua did not prophesy concerning which team would win the UEFA Champions League Final.
  • Prophet TB Joshua did not prophesy concerning who should play or who should not play in the Champions League Final match.
We must stop lying against the man of God, Prophet T.B. Joshua. This is a tactic of the enemy – to say what he has not said and say he is the one that said it.
Every prophetic message given by Prophet T.B. Joshua is broadcast LIVE on Emmanuel TV and online at:

If you don't see it on Emmanuel TV, it didn't happen.
 
ni uongo TB Joshua hajatabiri hizo mambo, ni hili kanusho kaliweka kwenye official site ya huduma yake
 
Baada ya kuzushiwa saana kuwa ameitabiria ushindi Chelsea, mtumishi wa Mungu ametumia ibada ya leo kukanusha uzushi huo. Kisha akauliza sababu hasa watu kumzushia, kijana mmoja akajibu watu wanataka anaseme matokeo yatakuwaje.

Kwanza katangaza kuwa hata yeye ni mpenzi wa Chelsea, lakini akawataka wapenzi woooote wa klabu hiyo kuiombea sana. Inahitaji "SERIOUS PRAYER!" Akasema anaona mchezaji wa B.M. FC akipiga mpira kwa kichwa na kufunga goli. Ni mchezaji mrefu mweusi.

Kwa leo ni hayo tu. Hivyo wapenzi wa Chelsea mliomzushia mtumishi wa Mungu poleni sana. Mpaka napoandika ujumbe huu bado anaendelea na ibada.
 
Robben ana ipara lakini mfupi ndo najiuliza ni nani tena mwenye upara mrefu
 
Back
Top Bottom