TAZARA yazidi kudorora kwa huduma mbovu za treni


Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,305
Likes
8
Points
0
Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,305 8 0
Wadau wana JF!

Nchi yetu kila pahala ni rojo..hata mashirika ya ubia na nchi jirani tumeishia kuvuruga tu, uongozi mbovy!

Habari zinazovunjika (breaking news) toka kwa wasafiri watumiao reli ya TAZARA ni kuwa, treni ya Tazara imefanyia watu uhuni, abiria wanalalamika wamelala sakafuni toka saa 5 asubuhi waliporipoti, treni ilitakiwa kuondoka toka saa 7 mchana, haikusafiri, uongozi ukakatoa udhuru kuwa safari ni saa 11, abiria wavumilie tu, napo saa 11 jioni haikusafiri, wakaweka matangazo tena na udhuru kuwa safari ni saa 3usiku haikusafiri, hadi sasa 4.35usiku, watoto na wamama wamechoka wamelala sakafuni wanalalama

Source: Mdau wangu aliyepo safari hiyo na watoto, toka saa 5asubuhi.

Hiyo ndiyo maisha bora chini ya Magamba, Ma-CCM yaliyofilisika!
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
station gani hiyo? Tazara ni majanga, utakuta kichwa hakina mafuta hapo.. Kuna siku tulikaa masaa 8 nilipo uliza nikaambiwa mafuta hakuna walikuwa wanasubiri makusanyo wakanunue kurasin baada ya kampun kugoma kuweka mafuta....
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,039
Likes
33,002
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,039 33,002 280
Tazara ya mwakymbe yenyewe inabeba wanafunzi siku hizi
 
B

bwegepeponi

Member
Joined
Sep 16, 2013
Messages
74
Likes
0
Points
13
B

bwegepeponi

Member
Joined Sep 16, 2013
74 0 13
Tazara ya mwakymbe yenyewe inabeba wanafunzi siku hizi
Jamani huyu asisumbuliwe yuko bize bandarini anashughulika na bodi, ajira, mikataba na miradi. Shughuli ya Tazara hailipi shirika maskini halina pesa
 

Forum statistics

Threads 1,261,369
Members 485,163
Posts 30,088,034