TAZARA flyover na Aga Khan bridge

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
688
wadau naomba kujua zilipo ofisi za makampuni yanayohusika na ujenzi huu
1. tazara flyover nasikia ni Sumitomo Mitsui Construction company Ltd.

2. kampuni itakayojenga daraja la Coco beach to Agakhan. sijajua jina ila nasikia inatokea Korea.

mwenye kujua ofisi zilipo anisaidie nikajue utaratibu wa kuomba kibarua.
asanteni
 
Hii miradi mingine ni ya kufikirika zaidi kuliko vitenda, maana ni miaka tangu mkandatasi aanze upembuzi yakinifu wa gharama itakayotumika.!!
 
Hii miradi mingine ni ya kufikirika zaidi kuliko vitenda, maana ni miaka tangu mkandatasi aanze upembuzi yakinifu wa gharama itakayotumika.!!

Tazara washaweka bango la mradi inamaana kazi inaanza lakini sijui ofisi zao zilipo.
 
Wapo kwenye mchakato ,wakimaliza mchakato itakubid usubili mpaka ajiriwe mfanyakazi Wa kukutafuta we we kama lengo lako hiyo ndio nafas uitakayo ,subir sana mpaka upambanuz yakinifu uishe
 
Ufisadi umeanza mapemaaaa!hapo TAZARA katika eneo linalotegemewa kujengwa flyover kunapandwa miti ya kudumu,sasa sijui hiyo miti itaendelea kuwepo wakati wa ujenzi ukiendelea au ni deal la watu fulani?
Nchi hii iko kazi!
 
Kweli wananchi hamna imani na serikali yenu,kikwete na mkapa wamewaharibu kisaikolojia mnadhani pia na serikali ya JPM ipo hivyo pia,mradi wa flyover tazara umeshaanza kwa sasa tupo kwenye mobilization na hivi karibuni kutakua na uzinduzi wa kuweka jiwe la msingi...miaka miwili ijayo flyover itakuwa pale muombeeni tu JPM ana nia ya dhati
 
nimekuelewa sana mkuu! Ajaliwe afya tu prezdaa. wataona wenyewe tofauti ya chato na msoga!!
 
Sidhani kama bado ipoo
Endele kuulizia aghakan nilisikia tangu mstafu
 
Back
Top Bottom