Tazameni siasa za upinzani jamani

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Kwa Tanzania kuna watu wanaamini kuwa chama cha upinzani ni adui mkubwa kwao.

Tazameni hii picha chini jinsi wana ccm walivyo jiandaa kummaliza huyo kijana wa cdm hapo ni dodoma.
Screenshot_20200602-215600.jpeg
 
Akili na mikono uliyo tumia kuandika ni mali yako hakuna mtu wa kukulaumu
Alikatiza huko kutafuta nini peke yake, kama hawakumuua basi ana bahati shwaini kabisa huyo
 
Kwa Tanzania kuna watu wanaamini kuwa chama cha upinzani ni adui mkubwa kwao.

Tazameni hii picha chini jinsi wana ccm walivyo jiandaa kummaliza huyo kijana wa cdm hapo ni dodoma. View attachment 1467089
CCM wapole ukiwachokoza ndio utawajua .Mjomba wangu huyo wa mwisho kulia anayekuja mbio na munkari na tofali la uhakika Hadi raha najivunia mjomba.Hana mchezo
 
Back
Top Bottom