Tazameni siasa za upinzani jamani

Ndiyo maana tunasema hawa jamaa wana roho mbaya sawa na nyoka tu
Huyu jamaa angeuwawa kisa yuko chama tofauti na wewe, ungefaidika na nini? Au alivyouwawa Kamanda Alphonse Mawazo wewe umefaidika na nini?
 
Mawazo ni issue nyingine, vaa uhusika wa huyu jamaa

Au tufanye hivi sisi chadema tuko mlimani city kama wote halafu nzi wa kijani mara kakatiza katikati hivi tutamwacha apite hivihivi?

Sasa hapo kamanda alichofanya ni uchokozi
 
Njia imefungwa?
Tofauti kuu ni itikadi. Hata mfano wako umetolea tofauti za itikadi?
 
Fala tu huyo alikunywa viroba vyake akavamia mkutano wa CCM akiwa na tambara lake la chadema
 
Back
Top Bottom