Tazameni akili za watanzania wenzetu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazameni akili za watanzania wenzetu....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamageuko, Apr 3, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Wapo wansosema "WAMECHAGUA MBUNGE HUYU AU DIWANI YULE MPYA KWA SABABU YULE WA ZAMANI AMESHAKULA VYA KUTOSHA WACHA NA HUYU NAE ALE!!"
  Na hili ndilo limepelekea kupata madiwani wengi mbumbumbu ambao sasa wanaelekea kuwa mizigo katika halmashauri kutokana na kushindwa kusoma baadhi ya mikataba na sheria...
  sasa sijui kwa mfumo wa aina hii na hulka hizi sijui tunaelekea wapi?!!!

  (cha ajabu wengi wetu hili tumelifumbia macho.. kwa sababu wajinga hao ni wapendwa wetu!)

  Ni vigumu sana kuipata Tanzania Tuitakayo kwa mfumo wa aina hii!
   
 2. i

  iMind JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ingekua software tungeitengenezea patch. But there is no patch to human stupidity. Ndivyo tulivyo, sisi mbunge wetu alichaguliwa kwa sababu ni mtoto wa mjini.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wacha wale kwa zamu....................
   
 4. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania wavivu sana, hata kufikiri tu hawawezi, lakini cha ajabu, wakienda ughaibuni wanatumikishwa kama punda.

  Morogoro kuna babu anatoa kikombe cha kurekebisha akili. Asaidiwe kuokoa nchi na ugonjwa sugu wa uvivu wa kufikiri
   
 5. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na hii ni sababu mojawapo inyosababisha maisha kuwa magumu siku hadi siku,kwa sababu ya kuchagua wawakilishi wasiokuwa na uwezo wa kujenga hoja au kutetea hoja,sisi tunawachagua kwa ajili na kula na kujinufaisha binafsi.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Watanzania 75% bendera fuata upepo rejea JK aliposema wakati anarudi ziara ya china(kama sikosei) pindi Chenge alipojiudhuru....akasema wa tz hawana msimamo!!!
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ...ni heri wangelikula vyao lwa zamu .. lakini wanapitiliza na KULA VYETU, WATOTO WETU MPAKA VITUKUU?

  Wakati wenzetu wanajenga shule za kudumu sisi WANAJENGA ZINAPOROMOKA ILI WAJENGE TENA MWAKA UJAO!!
   
 8. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ....LAITI KAMA WANGELIFANYA KAZI KAMA WAFANYAVYO UGHAIBUNI, LEO HII TANZANIA INGELIKUWA NI TOFAUTI NA ILIVYO LEO! Inashangaza sana... Taifa lenye nguvu kazi ya kutosha, rasilimali za kutosha... BADO TU MASIKINI!!!
  Ipo siku tutataka WAFADHILI watupengeshe KAMASI, na kutuondosha UCHAFU miilini!! TU WAVIVU KUPINDUKIA, TU WALALAMISHI KUPITA KIPIMO!! NA SABABU ZA UVIVU WETU WA KUFIKIRI NDIO MAANA IMETUPASA KUFUATA MIKUMBO KWA MAANA WAPO WANAOFIKIRI KWA NIABA YETU!!!

  Ekh! Tanzania!!!
   
 9. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Duh! Kweli tunajua kuchagua....!!! Hatuhitaji uwezo wala upeo!! Tunahitaji nani ALE LINI! na HUYU NI MWENZETU!!!
   
 10. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  It takes a lobster approximately seven years to grow to be one pound.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kuna hilo na kuna udini na ukabila, nakwambia nilichoka wakati wa uchaguzi hata kabila hilo hilo tunabaguana anakwambia eti huyu kabila letu lakini wa kaskazini sisi tunataka wa kusini. :bolt:
   
 12. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Statement hiyo huwa inatumika pindi ambapo wagombea wote hawafai!..
   
 13. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naikumbuka katuni fulani ya mchoraji wa Kenya iliyokuwa na sura za marais watatu mmoja rais wa Kenya, mwingine rais wa Uganda na wa tatu ni rais wa Tanzania. Pembeni kukawa na vijana watatu kila mmoja anamuwakilisha rais wake. Yule kijana aliyemuwakilisha rais wa Uganda alisema, "We Ugandanas thank God for President has broght peace and stability in our country", Yule wa Kenya akasema "We thank God for our President has stabilised our economy" na Yule wa Tanzania akamalizia kwa kusema "We really thank God for our President is HANDSOME".

  Tafakari!!! Chukua hatua!!!!!   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Potelea mbali hata mimi nautafuta udiwani mwaka 2015 kwan nini?
   
 15. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  That is a sick joke... i like that one.
   
 16. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Utani mwingine bwana noma sana!
   
Loading...