N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,291 Apr 6, 2016 #3 Toa kwenye jukwa la siasa basi. Mie nilidhani kuna device ya ku detect tunayoandika kwenye computer na simu za nyumbani kumbe moto??
Toa kwenye jukwa la siasa basi. Mie nilidhani kuna device ya ku detect tunayoandika kwenye computer na simu za nyumbani kumbe moto??
M mwasu JF-Expert Member Jul 13, 2011 10,161 11,534 Apr 6, 2016 #4 Aisee! asante kwa taarifa usingizi huwa unasababisha nafanya hili jambo.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 6, 2016 #5 Itakuwa ni laptop ya kichina, mimi huwa situmii vifaa vya kichina
Youngblood JF-Expert Member Aug 1, 2014 19,315 56,318 Apr 6, 2016 #6 MKWEPA KODI said: Itakuwa ni laptop ya kichina, mimi huwa situmii vifaa vya kichina Click to expand... Nani kakwambiaa ni mchina?
MKWEPA KODI said: Itakuwa ni laptop ya kichina, mimi huwa situmii vifaa vya kichina Click to expand... Nani kakwambiaa ni mchina?
kidadari JF-Expert Member Jul 26, 2012 8,647 9,595 Apr 6, 2016 #7 TataMadiba said: Ni hatari sana. Click to expand... duh