Tazama vile viumbe tunavyotumia mbao kwa wingi! Lakini kuna mtu humu hajawahi hata kufikilia kupanda mti hata mmoja

Mti mmoja unakadiriwa kuchangia kuongeza afya na uhai wa mtu kwa asilimia 1%-2%!

Inamaanisha binadamu tukiwekeza msituni tunaweza ongeza umri wa kuishi kwa asilimia kubwa sana!
Tatizo ni haya yanayoongoza nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom