Tazama vile ubunifu wa maendeleo Tanzania unavyokwamishwa na Polisi na TRA kwa kuendekeza Ukoloni

Hamna bana, watanzania tunaendekeza sana anasa kwa mambo ya kijingajinga tu. Teknojia kwetu ni anasa baas. Tunapenda vitu vikubwavikubwa uwezo hatuna.

Tuna mapori makubwa so vast and virgin yako kibwerebwerere tu badala ya kwenda kuyaclear na kufanya shughuli za kilimo na ufugaji. Tunabakia kukimbilia anasa.
Naomba kujua jinsia yako .... Kama ni Dada ndio unaongea hivi nakusamehe ila kama ni wakiume aisee hicho kizazi ulichonacho kiunoni unakwenda kukitesa bora ubaki na kichwa kuliko huo ubongo ulionao.... HAUNA THAMANI
 
Siku moja tulikuwa singida, kukawa kuna msafara gari zilisimamishwa, lakini pembeni kuna service road kama njia ya ng'ombe! Ambayo inakwenda kipande kirefu tu!
Jamaa mmoja akasema tupite njia hii ya ng'ombe ili kuokoa mda !
Polisi walitufuata huko huko kwenye njia ya ng'ombe na kuamuru tusubili msafara hadi upite, wakati msafara unapita juu kwenye lami, na sisi tulikuwa pembeni kabisa njia ya ng'ombe!
Nadhani hili limekaa kinidhamu zaidi.
 
Na wengine ni BANK... issue ndogo tu.. utaskia... NENDA TAWI ULILOFUNGULIA ACCOUNT... hapo upo Mtwara... Tawi ulofungulia lipo BIHARAMULO...

Ebhana eeeeh hii inchi ina vituko. kuna account ya bank fulan nilifungulia Tanga. sasa nikahamia dodoma. sku moja nikatama kubadili namba yangu ya simbanking, nkaenda kwny bank yao.pale dodoma et wakanambia kubadili namba n lazma uende tawi ulilofungulia account!!!!asww nilimwangalia yule dada mpaka nikachoka ghafla.
 
yaan huyu ana tatzo moja tu! n kwamba KAZALIWA KIJIJINI,KAKULIA KIJIJIN NA BADO ANAISHI KIJIJINI. hana exposure yyte kama alivokuwa babake jiwe
 
Naomba kujua jinsia yako .... Kama ni Dada ndio unaongea hivi nakusamehe ila kama ni wakiume aisee hicho kizazi ulichonacho kiunoni unakwenda kukitesa bora ubaki na kichwa kuliko huo ubongo ulionao.... HAUNA THAMANI

yan huyu jamaa sjui yuko shinyanga sehem gan mana sio kwa akili za kijima hizi asee
 
Ebhana eeeeh hii inchi ina vituko. kuna account ya bank fulan nilifungulia Tanga. sasa nikahamia dodoma. sku moja nikatama kubadili namba yangu ya simbanking, nkaenda kwny bank yao.pale dodoma et wakanambia kubadili namba n lazma uende tawi ulilofungulia account!!!!asww nilimwangalia yule dada mpaka nikachoka ghafla.
Yaan wamekariri
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom