Tazama swagga hizo.......kiuno size 31 lakini pensi la size 36 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama swagga hizo.......kiuno size 31 lakini pensi la size 36

Discussion in 'Jamii Photos' started by NEW NOEL, Sep 26, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 822
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  sagg.jpg
  Sasa sijui ni mafundi magari au gari yao imeharibika....ila hizi style zetu za mavazi dah!!
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Wanauza "background" hao, huoni wameamua hadi kupandisha vest ili biashara ionekane vizuri!!
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  MS ana vituko katika picha zake anazoleta hapa
   
 4. L

  Laaziz Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wavue kabisa.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye bold unamaanisha nini..
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wafanyabiashara wa siku ni wabunifu sana wanazitoa kabisa kwenye maboksi na kuzitundika hadharani.
   
 7. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Biashara matangazo, laana tupu!
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,099
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Siyo mapunga kweli hao?Cheki huyo mwingine kanyanyua kabisa t-shirt kuonyesha masaburi!
   
 9. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 10,692
  Likes Received: 6,644
  Trophy Points: 280
  Majembe hayo yanataka mpini.
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,955
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Biashara ya Kondoo ni Mkia!

  [​IMG]
   
 11. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,025
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145

  mimi naona kwa mbali sketi
   
 12. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa nashangaa sana kwa hii style ya mlegezo! Hivi ina raha gani? uvae pensi kama umejinyea lol! na kwa nini hawatelemshi na hiyo ya ndani? nadhani wangependeza kidogo kulivyo hivi.
   
 13. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi huwa nashangaa kwa nini hizo pensi/suruali zao hazianguki?? suruali ipo chuni ya makalio lakini haivuki sijui huwa inashikiliwa na nini!!! Cha kushangaza kijana akivaa hivyo ndo anaonekana mjanja!!
   
 14. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ni Tandahimba eeh!!!maana mandhari kama ya home....
   
 15. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,092
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  mbona hizo picha ni kawaida,uvaaj huo ni kawaida tu,ukitembea marekan utaona baba mtu na mtoto wametelemsha zaid ya hivo na mama mtu amepiga kimin cha hatari
   
 16. Sekema

  Sekema Member

  #16
  Dec 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenda wazimu tu hao ningekuwa waziri wa nidhamu wote ningewatupa ndani!! huwa hazidondoki baada ya kufanya utafiti nimegundua kuwa huwa wanafunga na waya kwa ndani toka pale zipu inapoanzia then hadi kwenye korodani, means pale ukimvuta kwenda chini basi lzm atoe kilio cha nguvu!!
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,527
  Trophy Points: 280
  biashara matangazo bana..............
   
 18. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,398
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hawa wanatakiwa wakamatwe na kuchunguzwa, kwa kosa la kukiuka maadili wanaume!
   
Loading...