Tazama Show ya Rosa Ree Alivyokiwasha Mbaya Kenya, Atoa Siri ya Kingereza Chake, Aifagilia Elimu ya Kenya

Udakuz

Member
Feb 4, 2013
77
125
Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha Citizen TV, Nimekuwekea Video Hapa chini uone perfomance yake na pia amefunguka kuhusu elimu ya Kenya kwani ndo iliyomfanya kuongea kingereza Vizuri
 

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,989
2,000
Mimi uwa ninahisi kinachowachanganya watu ni kingereza ila namuona wa kawaida sana yuko overrated. Sema nyota bwana kama ya pierre
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom