Tazama ramani utaona nchi nzuri Tanzania

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318

Wimbo wa Tazama Ramani. Huu ni wimbo wa Tanzania kwaajili ya kuhamasisha kuhamasisha upendo na mshikamano wa watanzania..
 
Wimbo wa Tazama Ramani. Huu ni wimbo wa Tanzania kwaajili ya kuhamasisha kuhamasisha upendo na mshikamano wa watanzania..
Uzuri uko wapi? wakati watoto wetu zaidi 10,000 wamekosa kujiunga na shule kwa sababu ya uhaba wa madarasa......au uzuri wa kutazama? tu wakati ajira imekua shida kwa wasomi wetu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom