Tazama picha za uzinduzi wa filamu ya The Gal bladder ya Baby Madaha ulivyokuwa jana ndani ya Akemi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
[h=1]ndani ya Akemi jijini Dar.[/h]Jana usiku mwigizaji na mwanamuziki Baby Madaha alizindua filamu yake mpya ya The Gal Bladder kwenye ukumbi wa akemi jijin Dar.
Uzinduzi kuu uliosindikizwa na performance ya baby Madaha pamoja na dancers wake ulihuduriwa na wadau mbalimbali wa filamu nchini kama wanayoonekana pichani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom