Tazama picha ya nyumba ya Obama

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,702
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.

Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.

Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.

Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.

20210508192500_-474498432_642919977691426596_640_359_85_webp.jpg
20210508192500_-1362553335_642919977691426596_640_374_85_webp.jpg
 
Ukiangalia kwa mapana ni sahihi kuwafanyia havi marais wetu. hii inawasiadia kuwaondolea stress baada ya ku staafu wanakuwa watulivu wanapokuwa madarakani. unapo staafu pressure ya watoto, ndugu ni vyema serikali kuwahakikishia maisha mazuri mpaka kifo chao. bila hivyo wataiba sana ili kujindaa na ku stafu
 
ukiangalia kwa mapana ni sahihi kuwafanyia havi marais wetu. hii inawasiadia kuwaondolea stress baada ya ku staafu wanakuwa watulivu wanapokuwa madarakani. unapo staafu pressure ya watoto, ndugu ni vyema serikali kuwahakikishia maisha mazuri mpaka kifo chao. bila hivyo wataiba sana ili kujindaa na ku stafu

Poor logic. Kwa hiyo wale viongozi wengine hawawezi kuiba wao!??? Dhana ya viongozi waadilifu iko wapi!??? Bado tungali na msamiati wa ^uzalendo^ kwenye kamusi, au ushafutwa!??? In short, sheria hiyo haifai kabisa.
 
Back
Top Bottom