Tazama picha jinsi ilivyokuwa ndani ya pantoni baada ya kivuko kupoteza mwelekeo mchana wa leo

Lord have mercy!
Naona kuna abiria hawana maboya, siku zote huwa nina wasiwasi kama maboya yanalingana na idadi ya watu!

Washukuru Mungu hata hao wachache walioyapata. huwa yanafungiwa na kufuli kuuubwa.
 
Hii kitu hatari sana bora daraja liishe huu wasiwasi wa kila siku ukipanda kivuko.
 
heee kumbe ilikuwa majanga poleni jamani wahanga wa kigamboni nashukuru mentor alikuwa kazini muda huo
 
pole zao, lakini ilikuwa muda mzuri wa kujalibisha maboya kama yanawaenea.....
 
Nasikia licha ya maboya kuwa machache lakini pia mengi yalikuwa yamechakaa na kutobokatoboka. duuuu
 
Ila wabongo wajifunze kuogelea bwana, ule umbali ni mdogo sana lakini lile dude likiwamwaga utasikia watu kibao wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea umbali mdogo tu!
 
nasikia licha ya maboya kuwa machache lakini pia mengi yalikuwa yamechakaa na kutobokatoboka. Duuuu
yana vumbi la ajabu..nina hakika wengi wao wana mafua ,makali sana sasa hivi...
 
Oooh mungu mwema! Wamshukuru allah kwa kuwanusuru.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom