Tazama picha jinsi ilivyokuwa ndani ya pantoni baada ya kivuko kupoteza mwelekeo mchana wa leo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000

Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili iweze kusimama na abiria waweze kushuka..
Tukio hilo ambalo chanzo chake kimetokana na Injini za Pantoni hilo kushindwa kufanya kazi haikuweza kutia nanga kwa muda wote huo.. na ambapo kulikuwa na upepo mkali sana ambao ulisababisha Pantoni hiyo kukosa muelekeo na kuanza kuambaa ambaa mpaka maeneo ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kisha kusukumwa zaidi hadi eneo la bandari ya Zanzibar.
Hata hivyo baada ya hali kuzidikuwa si nzuri walilazimika kuita meli ndogo za uokoaji ambapo meli ya kwanza haikuweza kuvuta pantoni hiyo na kulazimika kuongeza meli nyingine ili iweze kuongeza nguvu pamoja na boti za Jeshi la polisi ambazo zote zilifika na kwa ushirikiano mkubwa ziliweza kufanikiwa zoezi hilo la kuirudisha pantoni hiyo katika eneo lake husika.
Na abiria ambao walinusurika kuweza kushuka na kuendelea na shughuli zao za kawaida.. <center> <ins style="display:inline-table;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"><ins id="aswift_1_anchor" style="display:block;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent">
</ins></ins> </center>
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,779
2,000
Lord have mercy!
Naona kuna abiria hawana maboya, siku zote huwa nina wasiwasi kama maboya yanalingana na idadi ya watu!
 
sister

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
9,018
2,000
Aisee hii niliishuhudia mana nilikuwa maeneo hayo..Mungu ni mwema kwa kweli..
 
KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
sisi tlowai kupanda mv bukoba kt uhai wake tnaweza kuthubutu kusema kuwa nyie ni wazushi pia waoga wakubwa, mie mwenyewe nilipanda kt mv magogoni na kushuhudia sekeseke ilo.

panton iko kt form of vessel, ata ikizima engine zote bado itaendelea kuelea, tatizo kubwa ilikua ni upepo, na ule moshi ni matokeo ya uchakavu wa engine zake, ati wakakimbilia maboya ata kuyavaa hawajui, real nlikua nikicheka kimoyomoyo

nilikua najiandaa pia kusubili nipige chabo ile minyama kwan lzm uvue nguo kabla ya kujitosa majini
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,624
2,000
Hahahhaha chezea pumzi. Hapo kila m1 anawaza lake.. mwingine anawaza jehanamu itakuwaje.. mwingine ataachaje familia.. mwingine anawaza mkewe atagongewa.. nways poleni
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
sisi tlowai kupanda mv bukoba kt uhai wake tnaweza kuthubutu kusema kuwa nyie ni wazushi pia waoga wakubwa, mie mwenyewe nilipanda kt mv magogoni na kushuhudia sekeseke ilo.

panton iko kt form of vessel, ata ikizima engine zote bado itaendelea kuelea, tatizo kubwa ilikua ni upepo, na ule moshi ni matokeo ya uchakavu wa engine zake, ati wakakimbilia maboya ata kuyavaa hawajui, real nlikua nikicheka kimoyomoyo

nilikua najiandaa pia kusubili nipige chabo ile minyama kwan lzm uvue nguo kabla ya kujitosa majini

So ulikuwa unasubiri shida ikomae ndo uwaelekeze cha kufanya au nini maana yako???!!!
Eti unacheka kimoyomoyo!!!!!!! Brainless skull kweli hajui nini kifanywe wapi na kwa nini!!!!!
Isije kuwa wewe ndio gundu tu maana umeanza na.mv Bukoba jana umepiga Magogoni!!!!!

Hebu acha wenzio waishi bana kafara sio mpango!!!
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,162
2,000

Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili iweze kusimama na abiria waweze kushuka..
Tukio hilo ambalo chanzo chake kimetokana na Injini za Pantoni hilo kushindwa kufanya kazi haikuweza kutia nanga kwa muda wote huo.. na ambapo kulikuwa na upepo mkali sana ambao ulisababisha Pantoni hiyo kukosa muelekeo na kuanza kuambaa ambaa mpaka maeneo ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kisha kusukumwa zaidi hadi eneo la bandari ya Zanzibar.
Hata hivyo baada ya hali kuzidikuwa si nzuri walilazimika kuita meli ndogo za uokoaji ambapo meli ya kwanza haikuweza kuvuta pantoni hiyo na kulazimika kuongeza meli nyingine ili iweze kuongeza nguvu pamoja na boti za Jeshi la polisi ambazo zote zilifika na kwa ushirikiano mkubwa ziliweza kufanikiwa zoezi hilo la kuirudisha pantoni hiyo katika eneo lake husika.
Na abiria ambao walinusurika kuweza kushuka na kuendelea na shughuli zao za kawaida.. <center> <ins style="display:inline-table;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"><ins id="aswift_1_anchor" style="display:block;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent">
</ins></ins> </center>

...duh! hadi BANDARI YA ZNZ!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom