Tazama picha hizi zinavyoleta mauzi kwa wahusika

The bos

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
350
80
kwakweli hakuna kitu kinauma kama kufungwa hafu utakuta watu kwa makusudi labisa wanaweka picha hizi huwa najiuliza kama ndo ningekuwa mm yanga sijui ningekuwa naghazibika kiasi gani.poleni yanga mjifunze kutocheza mpira magazetini wanaume wanapimana uwanjani.nafikiri leo mtakuwa mumejifunza mengi sana.sizitaki mbichi hizi najua watakuja tu nasababu lakin binafs nachukulia haya ni mashindano kama maahindano mengine.
 

Attachments

  • 1418493445206.jpg
    1418493445206.jpg
    12.7 KB · Views: 3,700
  • 1418493676636.jpg
    1418493676636.jpg
    20.6 KB · Views: 1,975
  • 1418494993639.jpg
    1418494993639.jpg
    36.2 KB · Views: 2,682
Jina tu lenyewe linaonyesha mtoto hawezi kushindana na mnyama na akamshinda.
 
Back
Top Bottom