The bos
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 350
- 80
kwakweli hakuna kitu kinauma kama kufungwa hafu utakuta watu kwa makusudi labisa wanaweka picha hizi huwa najiuliza kama ndo ningekuwa mm yanga sijui ningekuwa naghazibika kiasi gani.poleni yanga mjifunze kutocheza mpira magazetini wanaume wanapimana uwanjani.nafikiri leo mtakuwa mumejifunza mengi sana.sizitaki mbichi hizi najua watakuja tu nasababu lakin binafs nachukulia haya ni mashindano kama maahindano mengine.