Tazama picha 22 zikionyesha mwili wa Albert Mangwea ukisubiriwa kupokelewa hivi sasa

ni nani anapiga honi si angepaki kimya kimya
Mwambie aache kelele nimesema mtu mzima
Hapa ni kimya kimya iwe Lexus au BIMA
Mbona huwa hawasemi hata Pamba wanaazima...
 
kumkumbuka kwa lipi haswa? unywaji wa pombe au ukahaba? labda kama utumiaji wa powder, hana la maana alilocha zaidi ya jina lake lenye taswira mbovu... ova
 
JamiiForums-1903515561.jpg
 
Watu walimraumu sana marehemu Ruge.
Lkn ukweli utabaki kua vijana wengi wanatamani mafanikio ya haraka,na short cut way iliyowafaa kwa kipindi hicho pengine hata sasa ni kujilipua kuzamia au kugeuka punda.
 
Back
Top Bottom