Tazama ndege za Air Tanzania zilivyopamba uwanja wa Dar Es Salaam airport tuna cha kujivunia sasa

Wote tunajua ndege zipo, mpya na zinapaa sasa kipi cha kushangaza hapo.

Kiu ni kuona kuna biashara next time aingie ndani afanye na recording jinsi ndani zilivyojaa abiria hapo ndio biashara ilipo.

Tatizo ni kwamba hatuna utamaduni wa kuulizana value ya miradi ya serikari ilipo kwa walipa kodi maana hiyo ni hela yao imetumika hapo sasa sidhani kama kuwaonyesha ndege zinapaa tu ni jibu tosha katika hela zao.
 
Back
Top Bottom