Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Utakuta hao watu wanailaumu serikali kwa umaskini wao 😂😂Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
Mda WA kufanya Kazi wanaenda kupanga foleni za kumhakikishia ulaji kigogo mja WA chadema.Wajinga lazima waliwe tuu.