Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,051
2,000
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775
Utakuta hao watu wanailaumu serikali kwa umaskini wao 😂😂

Mda WA kufanya Kazi wanaenda kupanga foleni za kumhakikishia ulaji kigogo mja WA chadema.Wajinga lazima waliwe tuu.
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,504
2,000
Chadema ni mpango wa Mwenyezi Mungu ndiyo sababu iko mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na Viongozi wake wote.
Mbunge wakuchaguliwa mmoja tuu kweli Mungu ana Mpango na chadema.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Ulitegemea nini kwenye uchaguzi usiokuwa HURU na wa HAKI? Unadhani kwanini maccm yanahofia uchaguzi HURU na wa HAKI kupitia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? 😳
Mbunge wakuchaguliwa mmoja tuu kweli Mungu ana Mpango na chadema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom