instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,836
- 16,274
Habari zenu wanajamvi kumekuwa na malalamishi kwa uchakavu na ubovu Wa stendi ya mabasi mjini bukoba.ila sasa tatizo limeanza kutatuliwa baada ya halmashauri kutenga kiasi kikubwa cha pesa kutakachojenga stendi nyingine mpya takriban km5 nje ya mji Wa bukoba katikati maeneo ya kyakairabwa uganda road.
Stend hiyo itakuwa ya mabasi yaendayo mikoani tu.na daladala zitabaki ilipo stendi ya sasa lakini itakarabatiwa kuwa ya kisasa zaidi na huku kukitengenezwa stend nyingine maeneo ya machinjioni kwa magari ya kashozi na bugabo.manispaa hiyo itajenga soko kuu jipya na kashai na kujenga miundombinu ya mji huo kama round abouts ,barabara kupanuliwa na kadhalika,tazama stendi itakavyokuwa
nadhani hii ndo itakuwa mwisho Wa porojo na mabezo kwa wana bukoba maana inasikitisha sana
[/IMG]