Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,829
Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV.

WhatsApp Image 2017-09-19 at 09.11.26.jpeg


Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo.

Sasa wamemuita ili akamtukane mwanamke aliemzalisha. Kwa udhalilishaji huo atakaoufanya Diamond sidhani kama atabaki salama. Makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na mtu aliye msafi.

Mlio karibu na Diamond mshaurini kabisa asiseme hakuambiwa.
 
Iwe hzo pcha zmevuja bahat mbaya au zmevujishwa.. He was supposed to be responsible since the beginning sababu alimtukana yule dada na hasira ya mwanamke uwa haimuach mtu salama... Hakupaswa kumtukana kua ni bitch while walkua wanapika na kupakua sasa yamemkuta baba ndele... He has to pay the price for being a cheating lover! Huhuhuhu apambane na hali yake sie tunapambana na zetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom