Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,551
- 45,844
Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV.
Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo.
Sasa wamemuita ili akamtukane mwanamke aliemzalisha. Kwa udhalilishaji huo atakaoufanya Diamond sidhani kama atabaki salama. Makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na mtu aliye msafi.
Mlio karibu na Diamond mshaurini kabisa asiseme hakuambiwa.