Tazama hii Picha Ipe neno!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,592
292022_203452796390739_100001780610456_514825_1135657389_n[1].jpg
Hapa alikuwa anawahubiria watoto je hapo nini kama si ombwe katika utawala??
 
Mheshimiwa John Tendwa anasema kuna chaguzi nyingine kama kumi zinakuja muda si mrefu,

Source: TBC1 live.
 
dah usishangae kwani huo wote ni ugumu wa maisha ndani ya bongo yetu hii iliyo na kila aina ya ufisadi.
 
CCM kwa makarateee! Mikutano yao Igunga and elsewhere ni watoto wanajaaa....... Ila uchaguzi eti wanashinda... Cjui wanawatoaga wapi wapigakura cku hiyo moja? Cjui ndumba? Makaratee wamezidi......
 
Wakikuwa hawa watoto watakuwa brainwashed enough not to listen to any other Tom, Dick and Hurry. Huyu jamaa analenga mbali sio 2015 tu. Sisi tutabaki kushabikia tu na kulalamikia uchakachuaji.
 
Mheshimiwa John Tendwa anasema kuna chaguzi nyingine kama kumi zinakuja muda si mrefu,

Source: TBC1 live.
Hata mimi nmemwona anasema kuna makesi kama 30 mahakamani. Kwa maana hiyo kutakuwa na chaguzi kama 10. Sijui Arusha mjini itakuwepo?
 
MHE.. Tendwa ni CCM Mkereketwa, Unatarajia nini, Kama Dola inatumika kisiasa na yeye yupoyupo tu, hiyo sheria anayoisimamia ina haki ndani yake . haiwezekani . Chambua yaliyotokea IGUNGA ,pima maneno yake ndipo utaelewa usemi ," nani tamfunga paka kengele'. Nadhani CCM inatumia Ujinga na upmbavu wa wanachi vijijini,kutojitambua haki zao ,kuwaduwaza zaidi na zaidi, kwani mbona mijini waliko elemishwa watu tunaona haki ikililiwa kwa sasa. Muda simrefu,Ekweli utadhihilika. Watoto wasie Brain washed sasa.
 
kukijenga chama unaanza kulisha sumu ya siasa kwa watoto.

Nahisi kuna ukweli katika hilo, maana lisumu la CCM lilivyokolea huko vijijini, kuna haja ya kuanza kuwanywesha maziwa hawa watoto wakiwa bado wadogo ili wasalimike jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom