JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,260
"MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA"
Kiruuuuuuuuuuuuuuuu wananchi wenye hasira kali angalieni msinitoe roho!
Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe bureeee..
Wacha niwape uzoefu-
1. Ndoa ya kwanza nilichangisha kama UTAMADUNI wa wengi kwenye jamii yetu...
Lakini Pamoja na michango tena mingi, tuliingia gharama zetu kubwa sana, na kama haitoshi tulikopa.
Baada ya shughuli tulianza KUPIGA MIAYO YA NJAA hatuna ela na madeni juu..binafsi nilijuta sana lakini siku zote MAJUTO ni Mjukuu...(siku isiyokuwa na jina Ndoaikasambaratikia****)
2. Ndoa ya pili.(BOMANI/SERIKALINI)Mungu akanikutanisha na Henry Kilewo anaejua nini maana ya Mke, anaeniheshimu na kunitunza, anaenipenda na kunijali.
Henry akaandaa sherehe NDOGO SANA ndugu jamaa na marafiki WACHACHE sana, kwa GHARAMA ZAKE.
Mume wangu Henry hakusumbua mtu yeyote. Baada ya lile tukio wala hatukupata ile adha ya madeni na kuishiwa pesa kabisa ndani. Tukaendelea na maisha matamu kwa Upendo na Uaminifu mpaka sasa.
[/h]TAZAMA HARUSI YA KIGOGO WA CHADEMA, HENRY KILEWO ALIYEFUNGA NDOA NA JOYCE KIRIA .... KIRIA AANIKA SIRI NZITO YA NDOA YAO HADHARANI .... SOMA ZAIDI - Niaje Tanzania.....!!