Mathayo 5:31-32
Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; 32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Katibu Mwenezi hili sio jukwaa la siasa, naona Umeona Chadema basi umechanganyikiwa. Mtumishi vipi bhana??Kwa wakirsto mnaruhusiwa kufunga ndoa mara mbili kanisani, huyu mwanamke ameishawahi kufunga ndoa kanisani na DJ wa Clouds FM Nelly, au sheria zimefanyiwa marekebisho.
Kutengana kwa lengo la kulejeana ina maana gani?
Mkuu nimesema kuna watu wana uelewa mfinyu, lakini hakuna sehemu nimekutaja wewe.Mkuu pamoja na uelewa wangu finyu, hakuna andiko linaloruhusu talaka katika biblia takatifu. Onesha hicho kifungu ili nami nipanue uelewa wangu.
Jamani mwacheni huyo dada aolewe tena hiyo ndoa inabaraka kuliko hata hizo za kanisani, wengi wanaenda kanisani na sherehe kubwa kwa kujionyesha tu. hizo ndoa wanazofunga kama hawataki achana nazo zina amani sana maana kweli wanakua wamedhamiria kuishi pamoja, pia mimi binafsi naona sehemu kubwa BIBLIA inamkandamiza mwanamke, mwanamke avumilie kipigo, matusi, udhalilishaji wa kila hali eti asivunje ndoa asubiri hadi aone mumewe anazini, huo si ujinga, MWANAMKE INUKA, SIMAMA, CHUKUA HATUA

Nilishakuwa mwandishi wa habari kusema mume aliandaa sherehe ndogo ya watu wachache sana ni uwongo kwa wachagga. Wachaga harusi ni issue kubwa Useme hivi "ndugu na marafiki waliiisusia hiyo harusi na waligoma kuchanga hivyo zigo likamwangukia mume peke yake"!!! Usilete uwongo.
Soma hili andiko:
1 Wakorintho 7:10-11
10 lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
11 lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.
mimi naono BIBLIA inamamapana sana na tatizo kubwa wengi tunashindwa kuifafanua bali tunanukuu tu vifungu. hapo ndio tunapopotezana,, tumuombe Mungu atusaidiKama ni hivyo sawa, maana hapa nilipo sina Biblia. Nilifikiri umenukuu ule mstari unaohusu maombi na kufunga.
isipokua = except.Haya maandiko umeyaandika mwenyewe, yasome vizuri "Kila mtu amwachaye mkewe isipokuwa kwa habari ya uasherati" neno (isipokuwa) linaleta maana gani ktk maandiko haya?
Wale wanafunzi wake Yesu waliokua nae "live" muda mwingi walikua hawamwelewi jamaa kwa maneno yake ya mafumbo,mimi naono BIBLIA inamamapana sana na tatizo kubwa wengi tunashindwa kuifafanua bali tunanukuu tu vifungu. hapo ndio tunapopotezana,, tumuombe Mungu atusaidi
mimi naono BIBLIA inamamapana sana na tatizo kubwa wengi tunashindwa kuifafanua bali tunanukuu tu vifungu. hapo ndio tunapopotezana,, tumuombe Mungu atusaidi
kumbe jamaa nae nikigogo.....
Jamani mwacheni huyo dada aolewe tena hiyo ndoa inabaraka kuliko hata hizo za kanisani, wengi wanaenda kanisani na sherehe kubwa kwa kujionyesha tu. hizo ndoa wanazofunga kama hawataki achana nazo zina amani sana maana kweli wanakua wamedhamiria kuishi pamoja, pia mimi binafsi naona sehemu kubwa BIBLIA inamkandamiza mwanamke, mwanamke avumilie kipigo, matusi, udhalilishaji wa kila hali eti asivunje ndoa asubiri hadi aone mumewe anazini, huo si ujinga, MWANAMKE INUKA, SIMAMA, CHUKUA HATUA
Haya maandiko umeyaandika mwenyewe, yasome vizuri "Kila mtu amwachaye mkewe isipokuwa kwa habari ya uasherati" neno (isipokuwa) linaleta maana gani ktk maandiko haya?
Kuna watu wana uelewa finyu kuhusu Biblia, ukiisoma vizuri utagundua kuwa inaruhusu Talaka ila kwa mashariti magumu. Maana maandiko yanasema; Mtu asimuache Mkewe/Mmewe isipokuwa kwa Uzinzi, kwa kosa la uzinzi mwanandoa aweza kumuacha mwenza wake, lakini mchakato huu utafanya na kanisa pamoja na wanandoa wenyewe kuanzia ngazi ya chini mpaka ngazi ya juu. Katika Ukristo ndoa ni kitu kinacho heshimika sana tofati na dini nyingine ambazo unaoa leo baada ya mwezi 1 ukijisikia kutoa talaka unatoa.