Tazama harusi hii!

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Wadau,
Ni tatizo la watu wengi hasa vijana wa kiume kudai wanashindwa kuoa kisa hawajajipanga kimaisha. Utakuta mtu anakaa loooooong time huku anagegeda bila utaratibu au ana muaminisha mdada atamwoa ila wizi mtupu! Je, tatizo ni nini?

Kuna ndoa nimeishuhudia Kenya kaka mmoja mbeba mizigo kwa mkokoteni/kwama akifunga na bidada muuza nyanya. Wabeba mizigo wenzie walijichangisha na kuandaa mkokoteni kwa kuupamba vizuuuri na kuwachukua maharusi mpaka kanisa la Methodist! Hakika harusi ilivuta watu wengi na imefana sana! Imetumia pesa ndogo na maharusi wanaishi kwa raha.
Ndg yangu, ndoa sio ufahari na kujipanga sana. Maisha ulonayo ndo hayo mpendwa. Kama tayari una vitu kidogo vya kuanzia funga ndoa.
NB: kila mmoja anataka binti aliyetulia na asiyeharibiwa. Je, wewe ulowaharibu wataolewa na nani? Kumbuka action equals to reaction, ukila ukaacha, wako pia ataliwa na utaoa mtumba/ used.
Siku njema.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hii habari nimeiona leo Citizen tv nipashe. Very inspiring. Ma ndoa hii itadumu sana. God bless them
 
usipokua na hela siku hizi wanapeperuka hawa wadudu,kibaridi@hotmail.com
 
Back
Top Bottom