Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
1626271518562.png

1626271565107.png

1626271633188.png

1626271685491.png

1626271719611.png


KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga
 

Attachments

  • M-Pesa_Tariffs_Govt_Levy_A2_2.pdf
    105.9 KB · Views: 89
Kuna muda ni kama vile mitandao ya simu haifanyi kaz yake vzur ata kama ndio serikal lkn hii biashara watu wamekaa ata mwaka haujaisha wanapitisha sheria yao ndan ya wik mbil kaz inaanza sizan kuna ata kama kuna mtandao ulisubutu kuhoji na kuongea na serikal hii ni asara kwao na maumivu kwa wananchi.

Kuna mambo mengine roho mtu inauma ad unajiuliza kwann naonewa iv ebu fikiria ela yako unaipata kwa shida pamoja na makod yote lkn bado wanaitaka iyo iyo ,kama kwel wana nia ya dhat ya kupata pesa kwann hawapunguz mishahara na posho zao au wangetafuta njia nzur zaid ambayo ingeumiza kwa kias fulan mfano ni heri wangeweka ad fulan pale unaponunua umeme au unapoangalia salio au unapofanya malipo fulan ,yan wao wanakata pesa nyng kuliko mtandao husika hii nchi nzur kwa wenye vyeo kaz na mamlaka tu sisi wengine tunapgwa kila sehem

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom