Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,812
- 4,533
KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga