Kusema kweli hii kodi ya uzalendo alipo Musa hassan Zungu na Mwigulu nchemba, tunaomba Mungu aingilie kati

Mafuta tozo juu
Simu tozo juu

WENYEWE WANAPEWA MAFUTA BURE, AIRTIME WANALIPIWA(POSHO) , MISHAHARA YAO HAWAKATWI KODI
Screenshot_20210714_184326.jpg


Screenshot_20210714_185204_com.google.android.apps.docs.jpg
Screenshot_20210714_185215_com.google.android.apps.docs.jpg
Screenshot_20210714_184326.jpg


Screenshot_20210714_185131_com.google.android.apps.docs.jpg
 
Huwa najiuliza zile raslimali ambazo tunaambiwa tunazo mpaka wazungu wanaitamani nchi yetu, yako wapi ili yatupunguzie hizi double taxation? Au hizo raslimali ni hizi line zetu za simu?
Mkuu hili swali hua najiuliza sipati jibu.Mfano tu gas ya mtwara sijui mapato yake yanafaida gani kwetu . Maana tunakamuliwa mpaka basi.Waache tu mali asili zetu maana zinaishia sijui wapi so sad
 
Shida kubwa ni kwamba tuna viongozi ambao IQ zao ni ndogo sana. Uwezo wao unaishia kukariri. Akikariri akapata A au B+ anaamini kuwa ana akili sana.

Waziri ambaye hajui kuwa ongezeko la kodi na tozo kwenye huduma wezeshi, indirectly kunasababisha kupungua mapato na kuzifanya sekta mbalimbali zisinyae, kweli huyo ana akili?
 
Huwa najiuliza zile raslimali ambazo tunaambiwa tunazo mpaka wazungu wanaitamani nchi yetu, yako wapi ili yatupunguzie hizi double taxation? Au hizo raslimali ni hizi line zetu za simu?
Rasilimali zimekuwa line za simu na mafuta ya mabeberu.....wewe kazi yako ni kuongeza mia mia, wakizubaa unakandamizia jero au buku mbona ni raha sana kuwa waziri wa fedha kwenye nchi ya wadanganyika, huhitaji kutumia akili nyingi.
 
Back
Top Bottom