barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,584
Nenda sudani mkuu mkawe wa mjini, usiwe mshamba!Al bashir wa Sudan alionndolewa madarakani kwa kuzidisha bei ya unga wa ngano tu. Watanganyika sisi ni washamba wa maendeleo na tutaendelea kunyanyaswa maisha yetu yote hata na Washamba wanaokuja mjini!